Share to: share facebook share twitter share wa share telegram print page

Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Olusegun Agagu

Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Olusegun Agagu ni chuo kikuu cha sayansi na teknolojia cha Jimbo la Ondo, Nigeria, kinachomilikiwa na serikali.

Kilianzishwa mwaka 2008 na serikali ya jimbo chini ya uongozi wa Dkt. Olusegun Agagu.[1]

Marejeo

  1. "Ondo State University of Science and Technology | Ranking & Review". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2024-06-15. Iliwekwa mnamo 2024-06-27.
Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Olusegun Agagu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Prefix: a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9

Portal di Ensiklopedia Dunia

Kembali kehalaman sebelumnya