Share to: share facebook share twitter share wa share telegram print page

Brian Eno

Brian Eno, 2015

Brian Eno (amezaliwa 15 Mei 1948) ni mwanamuziki wa Uingereza. Jina lake la kuzaliwa ni Brian Peter George St. John le Baptiste de la Salle Eno. Alizaliwa huko Woodbridge, Uingereza. Anapiga muziki wa Rock and Ambient.

Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Brian Eno kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Prefix: a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9

Portal di Ensiklopedia Dunia

Kembali kehalaman sebelumnya