Share to: share facebook share twitter share wa share telegram print page

Brian Ashby

Brian Patrick Ashby CBE (10 Novemba 19235 Juni 1988) alikuwa Askofu wa tano wa Kanisa Katoliki Jimbo la Christchurch, New Zealand.

Aliteuliwa na Papa Paulo VI tarehe 11 Julai 1964, akajiuzulu tarehe 4 Julai 1985, akafariki tarehe 5 Juni 1988. Alikuwa kiongozi mkuu wa Maaskofu Katoliki wa New Zealand katika kutekeleza maamuzi ya Mtaguso wa pili wa Vatikani na alijulikana kwa juhudi zake katika masuala ya haki za kijamii.[1]

Marejeo

  1. Taylor, Alister; Coddington, Deborah (1994). Honoured by the Queen – New Zealand. Auckland: New Zealand Who's Who Aotearoa. uk. 51. ISBN 0-908578-34-2.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
Prefix: a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9

Portal di Ensiklopedia Dunia

Kembali kehalaman sebelumnya