Share to: share facebook share twitter share wa share telegram print page

Barry Michael Cooper

Barry Michael Cooper (1957 au 195822 Januari 2025) alikuwa mwandishi, mtayarishaji, na mwongozaji wa filamu kutoka Marekani. Anajulikana zaidi kwa maandishi yake ya filamu New Jack City (1991), Sugar Hill (1994), na Above the Rim (1994), ambazo mara nyingine huitwa "Harlem Trilogy".[1] [2][3]

Marejeo

  1. Gonzales, Michael A. (Aprili 2007). "Baltimore Orator: Barry Michael Cooper". Stop Smiling Magazine. Iliwekwa mnamo Juni 14, 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Barry Michael Cooper, Visionary Behind 'New Jack City,' 'Sugar Hill,' and 'Above the Rim,' Dies at 67
  3. 'New Jack City' Writer Barry Michael Cooper Dead at 66
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Barry Michael Cooper kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Prefix: a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9

Portal di Ensiklopedia Dunia

Kembali kehalaman sebelumnya