Share to: share facebook share twitter share wa share telegram print page

BBC kids

BBC kids (BBC ya Watoto) ni chaneli ya kimataifa mahususi kwaajili ya watoto inayomilikiwa na shirika la utangazaji la Uingereza (BBC) linalotoa habari duniani kote, [1] na imetumika kwa idadi kadhaa za huduma za Televisheni. Inatokana na historia ndefu ya vipindi vya watoto kwenye BBC, na inahusiana sana na idhaa ya CBBC nchini Uingereza.Mnamo tarehe 11 Januari 2022,Studio za BBC ziliongeza BBC ya watoto kama chaneli ya ziada kwa jukwaa la Pluto TV nchini Marekani, kwa Kiingereza (kama "BBC Kids") na kwa Kihispania (kama "Niños por BBC").[2]

Marejeo

  1. "Princess Mirror-Belle returns to CBBC November 21st" (kwa Kiingereza). BBC. Iliwekwa mnamo 2025-01-12.
  2. Shah, Zeenya (2022-01-12). "BBC Studios brings two kids channels to Pluto". Kidscreen.
Prefix: a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9

Portal di Ensiklopedia Dunia

Kembali kehalaman sebelumnya