Share to: share facebook share twitter share wa share telegram print page

Alliance for Democratic Change

Alliance for Democratic Change (ADC) ni chama cha kisiasa nchini Tanzania. Chama kimesajiliwa rasmi mnamo mwaka wa 2012.

Chama hiki kimejengwa katika misingi imara ya utu, uchaji wa Mungu na demokrasia ya haki. Ni chama ambacho kinalenga kuwajenga viongozi waadilifu kwa manufaa ya taifa kwa vizazi vyote.

Tofauti na vyama vingine nchini, ADC kinatambua na kuheshimu uwepo wa Mwenyezi Mungu. Huu ni mmoja ya misingi mikuu ya uongozi ndani ya ADC.

ADC inaamini kiongozi wenye kumcha Mungu atakuwa mwadilifu na mwenye kutenda haki kwa wananchi. [1]

Marejeo

  1. "Alliance for Democratic Change party gets temporary registration". -. IPP Media. 27 Machi 2012. Iliwekwa mnamo 2014-07-21.
Prefix: a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9

Portal di Ensiklopedia Dunia

Kembali kehalaman sebelumnya